Search

80 results for Stella Ibengwe :

  1. PRIME Mpina: Natimiza wajibu, sikwenda bungeni kucheza disko na mawaziri

    Awaonya wanaopambana naye kwamba wataishia kudhalilika kwa kuwa hawezi kucheka na waziri ambaye hatekelezi majukumu yake ipasavyo.

  2. Ukuta wa nyumba waua watoto watatu wa familia moja

    Akisimulia tukio hilo leo Ijumaa Aprili 26, 2024, mama wa watoto hao, Joyce Nchimbi ambaye amenusurika na mtoto wake mmoja, amesema mvua ilianza kunyesha saa nne usiku jana na ilipofika saa tisa...

  3. PRIME Wizi wa misalaba makaburini wawashitua Shinyanga

    Wizi wa misalaba ya chuma makaburini umekithiri katika Manispaa ya Shinyang, jambo ambalo linachochewa na biashara ya vyuma chakavu.

  4. Watatu matatani kwa mauaji ya kikongwe

    Watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Andrea Mayunga (77), mkazi wa kijiji cha Mwamashimba kilichopo wilaya ya Shinyanga kwa...

  5. Kauli za maaskofu ibada ya Ijumaa Kuu

    Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya amewataka watu wanaofikia hatua ya kutaka kujiua wanapopata shida kuacha kufanya hivyo

  6. Mvua yabomoa nyumba 72, msikiti, kanisa

    Mvua iliyonyesha jana ikiambatana na upepo mkali imebomoa nyumba za ibada na kuathiri nyumba 72.

  7. Mvua yaleta maafa, 200 waathiriwa Shinyanga

    Waathirika wanahitaji hifadhi ya muda, chakula na msaada wa kibinadamu, Serikali yaombwa kutoa msaada haraka.

  8. Mpya eneo la mgodi lililofunikwa na tope Shinyanga

    Bwawa hilo lilipasuka Novemba 7, 2022 huku makazi ya watu zaidi ya 304, samani za ndani, mifugo na mashamba yao yakiharibiwa kwa ama kufunikwa au kusombwa na majitope yaliyosambaa umbali wa...

  9. Polisi wayapa kibano magari ya shule mabovu Shinyanga

    Mmiliki wa Shule binafsi, Jacton Koy ameshauri wamiliki wa shule kuzingatia ukaguzi wa magari yanayowabeba wanafunzi, kwa kuwa wanaopanda ni watoto hivyo wanahitaji uangalizi maalum.

  10. Takukuru kuvalia njuga utapeli, wanaoghushi risiti za EFD

    Pia, imebaini uwepo wa risiti za EFD zilizoghushiwa na kutoa wito wa kuendelea kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya mashine hizo.

Page 1 of 8

Next